Gachagua asema ataboresha huduma kwa wakenya akichaguliwa kuwa Rais
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 37
Aliyekuwa Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua, amekashifu uongozi mbaya wa serikali ya Rais Ruto kwa kuwakandamiza Wakenya kwa muda mrefu. Gachagua akisema akiupata uongozi wa taifa atahakikisha kila Mkenya anafidika na huduma bora na hata kuondoa baadhi ya miradi inayowafinyilia Wakenya, ukiwemo wa nyumba za bei nafuu. Aidha, Naibu Kiongozi wa DCP, Cleophas Malala, amemsuta Rais William Ruto kwa kumpa nafasi ya ajira Ida Odinga, akisema ni kinyume cha alichowaahidi Wakenya kuwainua mama mboga na Wakenya wa hadhi ya chini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: