Tumaini la Uzao wa Nabii Ibrahimu || Pr. Elisha Juma – Effort Nchangwahela 2025 | Siku ya Kwanza |
Автор: Bible TV
Загружено: 2025-11-17
Просмотров: 12
Karibu kwenye Effort Nchangwahela 2025 – Siku ya Kwanza, ikiwa chini ya kaulimbiu ya mwaka huu: “Tumaini la Uzao wa Nabii Ibrahimu.”
Mkutano huu wa injili umeandaliwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge kupitia Idara ya Huduma za Vijana, ukiongozwa na Pr. Elisha Juma.
Katika siku hii ya ufunguzi, tunaanza safari ya kiroho ya kujifunza, kutafakari na kukua katika imani kama watoto wa ahadi ya Mungu. Ujumbe huu unalenga kutukumbusha urithi wetu wa kiroho, wito wa imani ya kweli, na tumaini lililoahidiwa kwa wote wanaomwamini Kristo.
👉 Tunakuomba uungane nasi kupitia mafundisho, nyimbo, maombi na ushuhuda unaogusa maisha. Usisahau kusubscribe, kushare na kutuombea ili Injili iwafikie wengi zaidi.
Bible TV Tanzania – Kueneza Neno la Mungu kwa Uaminifu.
#EffortNchangwahela2025
#PrElishaJuma
#AMRTumaini
#AdventistEvangelism
#SDAChurchTanzania
#BibleTruth
#NarumaBibleTV
#NenoLaMungu
#GospelMeetings2025
#TumainiLaUzaoWaIbrahimu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: