Katavi yajikita kwenye kilimo cha kahawa
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-09
Просмотров: 693
Wakulima wa Kahawa wa Tarafa ya Mwese Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wanatarajia kunufaika na kilimo cha zao hilo linalolimwa katika ukanda huo wa juu baada ya kupatiwa msaada wa miche 2000 ya Kahawa aina ya Arabika ili kuboresha kilimo hicho.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: