#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-03-25
Просмотров: 519
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ametoa maelekezo matatu kuhusu mipango miji ambapo amesema kuanzia sasa ni marufuku kubadili matumizi ya eneo kwa kutumia mabango ya vitambaa na badala yake ni lazima uitwe mkutano wa wananchi wa mtaa mzima watu warekodi kwa simu zao ili kuweka ushahidi.
Waziri Silaa amesema hayo wakati alipofanya ziara katika maeneo ya Oysterbay na Msasani jijini Dar es salaam akiongozana na viongozi wakuu wa Wizara yake ambapo alikuta baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wameanza kujenga vyumba vya biashara ya kupangisha kinyume na matumizi ya maeneo hayo ambayo ni makazi.
Pili, Waziri silaa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara yake kuunda Kamati Maalumu itakayopitia kiwanja kwa kiwanja ili kubaini viwanja vilivyobadilishwa matumizi na kuvifanyia marekebisho pamoja na kuwaelimisha wananchi wa mitaa hiyo namna bora ya kubadili matumizi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: