JINSI YA KUPIKA KAIMATI ZA SAMLI SAFI NA VANILLA ZA SHIRA NJE
Автор: farwat's kitchen
Загружено: 2019-10-03
Просмотров: 18693
Kaimati ni kitafunio maarufu sana pwani. Ukiwa katika pita pita zako ndani ya mitaa ya uswahilini ni nadra sana ukose kuona watu wakiuza kaimati na kando kuna mabuli ya kahawa hasa mida ya jioni. Naam! Na hiyo ndio raha yenyewe. Aidha ni chakula kinachopikwa msimu wa ramadhani na vile vile aghlabu huandaliwa kwa kahawa. Utakubaliana nami kuwa kahawa ndicho kinywaji bulbul kuteremshia kaimati.
Instagram@ / farwats_kitchen
Facebook@ / farwats-kitchen-2266317120311085
Email; [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: