TUNAOMBA UTUREHEMU YESU
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-05-26
Просмотров: 17769
“Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa; Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka; Katikati ya miaka tangaza habari yake; Katika ghadhabu kumbuka rehema.”
HAB. 3:2 SUV
Tunapotaka kumuona Mungu akifanya mambo mapya na kufufua kila kilichokufa,ni lazma tufate utaratibu wake aliouweka na KUOMBA REHEMA NI SEHEMU YA UTARATIBU HUO.
Mungu atatusikia na kutuvusha,atafufua na kutangaza mwanzo mpya,kwa Jina la Yesu,AMEN.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: