Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Wakenya Wazua Balaa Mitandaoni: Baada ya 5–0, Tanzania Watajwa Tena!

Автор: MIZUKA MEDIA

Загружено: 2025-09-10

Просмотров: 24409

Описание:

Baada ya Harambee Stars kuichapa Seychelles mabao 5–0 katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia, mitandaoni Kenya ililipuka kwa utani na mzaha dhidi ya majirani zao Tanzania 🇹🇿. Wakenya walituma jumbe kali, wengine wakisema sasa Kenya inahitaji kucheza na mataifa makubwa kama Spain, Argentina na Portugal, huku wengine wakicheka kwamba Seychelles walivalia jezi ya bluu wakadhaniwa Watanzania 😅.

Katika video hii tumekusogezea mashabiki wa Kenya wakitoa maoni yao moja kwa moja baada ya ushindi huo mkubwa, kuanzia vichekesho vya “Sifelix”, hadi sifa kubwa kwa Ryan Ogam ambaye mashabiki wanamuita mchezaji bora wa kizazi hiki.

Je, ushindi huu wa Kenya ni dalili ya kuamka kwa soka letu, au ni mzaha wa majirani wa Afrika Mashariki? 🇰🇪 vs 🇹🇿 nani ana nguvu mitandaoni? Toa maoni yako hapa chini 👇

Karibu Mizuka Media – chanzo bora cha habari za mastaa, michezo, siasa na lifestyle Afrika Mashariki na diaspora.

🔔 Usisahau kusubscribe ili upate video mpya kila siku!

#KenyaVsTanzania

#HarambeeStars

#SeychellesVsKenya

#MizukaMedia

#EastAfricaFootball

#RyanOgam

Wakenya Wazua Balaa Mitandaoni: Baada ya 5–0, Tanzania Watajwa Tena!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

KIKOSI KILIVYOFANYA MAZOEZI YA NGUVU KUELEKEA MECHI DHIDI YA MASHUJAA FC - KMC

TANZANIA BARA 0-2 KENYA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS ( FINAL: CECAFA WOMEN CUP - 25/11/2019)

Zuchu Chan 2024 Full Performance

Zuchu Chan 2024 Full Performance

AMKA NA BBC SWAHILI LEO IJUMAA/KIMENUKA UGANDA)MUSEVEN AKUBARI MZIKI...

Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024

Kenya VS Tanzania 4-3 Penalty shoot-out! Kenya Progresses to CECAFA U18 finals!!

PART TWO: SALIM KIKEKE afunguka ALIYOPITIA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI VIJIJINI / WASANII WALIKUWA NA HAKI

MZE SAID!APIGA MAGOTI AKIULILIA UONGOZ WA SIMBA UFANYE UTEUZI WA VIONGOZ /SHIDA 10K% TUMEMKOSA OKELO

Tanzania Yajikwaa Kwa Maneno Yake Yenyewe? Kauli Zazua Moto Mitandaoni

Day 9 Highlights | World Athletics Championships Tokyo 25

NAI Afunguka UKWELI Wa PENZI Lake Na PACOME/DIAMOD KUMSAPOTI/UGOMVI Na Kina GIGY/BIASHARA Yake MPYA.

Kenya vs Tanzania? Samia Azua Vita Mpya Mitandaoni – Gen Z Wamjia Juu

HIGHLIHTS I SIMBA 2-0 GOR MAHIA I SIMBA DAY I

🔴#LIVE: CLEMENCE MWANDAMBO ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU AFICHUA ALICHOAMBIWA BAADA YA KUKAMATWA...

UNBEATABLE Faith Kipyegon captures historic 4th world 1500m gold | Tokyo Top Performance Day 4

Kenya Vs Tanzania? Mashabiki Waingilia Kati Baada Ya Kauli Ya Paroty Vunulu

2ND Half of Kenya 🇰🇪 Vs Seychelles 🇸🇨 #football #worldcupqualifier

AYATOLAH KHAMENEI KUIKIMBIA IRAN? KUMBE TRUMP ANALISHWA MATANGO PORI AIVAMIE KIJESHI/UKWELI NI HUU

Perdió su empleo por ayudarla y la vida lo recompensó

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com