Jinsi ya kupika MAANDAZI laini na matamu kwa urahisi (MAELEZO KWA KISWAHILI)
Автор: Mapishi TV
Загружено: 2025-04-06
Просмотров: 274806
Jinsi ya kupika Maandazi, wengine wanaita mahamri
Unga wa ngano vikombe 4
Maji vuguvugu 250ml au Saudi
Hamira kijiko 1 na robo kama ina nguvu au na nusu kama haina nguvu ya kutosha
Sukari nusu kikombe au zaidi
Hiliki ya unga kijiko cha chai 1
Chumvi nusu kijiko cha chai
Siagi (butter) kijiko 1 kikubwa
Mafuta ya kuchomea
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: