MAKUYUNI NDIYO NGUZO KUU YA UCHUMI WA WILAYA YA MONDULI. MHE. FRED LOWASSA.
Автор: OBAMA MEDIA
Загружено: 2025-05-13
Просмотров: 4999
Mbunge wa jimbo la Monduli Mhe Fred Lowassa akiwa katika sherehe ya mwenyekiti wa Kijiji Cha Makuyuni.
Amempongeza sana mwenyekiti Ngayoku kwa heshima kubwa aliyo nayo,
Aidha amewaeleza wananchi wa Kijiji hicho kuwa Makuyuni ndio Nguzo ya utalii wa monduli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: