MKE wa MAKAMU wa RAIS ZNZ Apata DARASA TZ BARA, ANENA HAYA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-11-01
Просмотров: 3438
MKE wa MAKAMU wa RAIS ZNZ Apata DARASA TZ BARA, ANENA HAYA...
Leo Novemba 01, 2021, Mhe. Zuhura Kassim Ali, mke wa Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman ametembea Tanzania Bara na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu nanma ya kuweza kuisaidia jamii kupitia wanawake na vijana.
Katika ziara hiyo ambayo Mhe.Zuhura Kassim Ali alitembelea taasisi mbalimbali za vijana na wanawake ili kuona namna zinavyofanya kazi na kufungua mashirikiano baina ya Taasisi hizo na Taasisi yake ya Haiba Women Foundation.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: