Namungo FC 1-1 Pamba Jiji FC | Highlights | NBC Premier League 18/09/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-20
Просмотров: 4866
Abdulraziz Shahame ameifungia Namungo goli la kusawazisha dakika za nyongeza na kufanya mchezo umalizike kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji, mchezo ukipigwa kwenye dimba Majaliwa, Lindi.
Pamba Jiji walitangulia mapema dakika ya 12 kwa goli la Shaphan Siwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: