Alichokisema Mkurugenzi wa Benki ya Dunia baada ya kukutana na prof Kabudi
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-02-05
Просмотров: 2002
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Mara Marwick amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi na kusema mahusiano kati ya #Tanzania na benki hiyo ni imara na kuihakikishia Tanzania ushirikiano madhubuti katika sekta mbalimbali za kimaendeleo.
#AzamTVUpdates #BenkiYaDunia #AzamNews
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: