Nondo za Profesa Kabudi mbele ya Rais Samia kuhusu mkoa wa Singida
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-10-16
Просмотров: 33776
Msomi na Mbunge wa Kilosa mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi akielezea asili ya jina la Mkoa wa Singida leo Jumatatu Oktoba 16, 2023 katika hafla ya sherehe za miaka 60 mkoa huo iliyohudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: