'NDOA ZOTE ZINAZOFUNGWA NCHINI NI MUHIMU ZISAJILIWE ILI ZITAMBULIKE KISHERIA' BW. FRANK KANYUSI.
Автор: RITA Tanzania
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 90
Kabidhi Wasii Mkuu ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bw. Frank Kanyusi amewaagiza wafungishaji ndoa wote kuhakikisha wanasajili na kuwasilisha kwa wakati taarifa za ndoa zinazofungwa katika maeneo yao.
Bw. Kanyusi ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa kikao maalum kilichowakutanisha wadau wa usajili wa ndoa za kimila kutoka mikoa ya Dodoma, Morogoro, Singida, Iringa na Manyara kilichofanyika Novemba 28, 2025 jijini Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: