Mtume Noel Kapinga: Mtazamo Wangu Juu ya Kusanyiko Kuu 2025
Автор: EFATHA CHURCH
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 632
NAFASI YANGU, UMILIKI WANGU!
Mbiu imelia, na sisi tumeitika!!!
Ni mwaka mwingine na majira mengine tena ambayo Mungu ameyaandaa kwa ajili ya kukutana na watu wake. Ni pale pale katika BONDE LA KUKATA MANENO, tutashuhudia nguvu za Mungu zikitembea kuponya kufungua na kukurejesha kunako nafasi yako ya umiliki uliokusudiwa kwa maisha yako.
Mahali: Kanisa la Efatha Precious Centre - Kibaha, Mkoa wa Pwani
Tarehe: 6 - 12 Oktoba 2025
Je, uko tayari kusimama imara katika nafasi yako na kuutwaa urithi wako? Usikose kuhudhuria Kusanyiko Kuu la Wana wa Mungu!
Usije peke yako! Waalike ndugu, jamaa na rafiki zako ili kwa pamoja tuweze kumiliki kile ambacho Mungu ametuwekea.
Mimi nitakuwepo... na wewe je?
#NafasiYanguUmilikiWangu
#KusanyikoKuuLaWanaWaMungu2025
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: