UFUGAJI WA SUNGURA AU KUKU ? KIPI CHENYE FAIDA ZAIDI NA RAHISI ?
Автор: AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Загружено: 2023-11-02
Просмотров: 5632
Moses ni kijana aliyejikomboa kwa ufugaji wa Sungura - awali alianza na Sungura wanne tu. Ndani ya miezi 4 ana Sungura 26 na mtandao wa masoko yake.
Vipi ALIANZAJE? Mambo gani ya msingi anayofanya yaliyompa mafanikio ? Je anatibuje magonjwa ya Sungura kwa kutumia dawa za asili ?
Yote haya tumekuletea kupitia video hii -Tazama Mwisho hadi Mwisho ili nawe ujikomboe kiuchumi kupitia ufugaji huu wa Sungura usiyohitaji mambo mengi kama ufugaji wa kuku.
Subscribe & bonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi.
#kilimobiashara #ufugaji #ujasiriamali #trendingshorts #ajefarms #mashambayanayotyembea #live #biashara #viral #tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: