Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KILIMO CHA MPUNGA IRINGA II

Автор: Kilimo Biashara

Загружено: 2019-07-18

Просмотров: 9252

Описание:

Mradi wa RICE unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya ni moja ya jitihada za kupunguza changamoto ya upotevu wa mazao baada ya kilimo. Mradi huu unatekelezwa na Shirika la Chakula na Kilimo duniani (FAO) likishirikiana na serikali, halmashauri ya wilaya ya Iringa na Taasisi ya Maendeleo vijijini na Mijini (RUDI).

Lengo Kuu la mradi ni Kupunguza umaskini vijijini kupitia kuboresha ushindani wa wakulima wadogo wa mpunga katika sehemu ya ukanda wa SAGCOT.

Mradi huu unatekelezwa katika skimu kumi na Mbili (12) za Luganga, Magozi, Mkombozi, Mlenge, Makifu, Mafuruto,Idodi,Tungamalenga,Mlambalasi, Ipwasi Ndorobo na Makuka katika wilaya ya Iringa. Mradi unajenga uwezo wa viongozi wa vikundi vya wakulima ili kuweza kumudu vyema ushirikiano na wadau wengine katika mnyororo wa thamani na hivyo kuongeza uwezo wa kuhimili ushindani, kupunguza upotevu na kukidhi mahitaji ya soko.

KILIMO CHA MPUNGA IRINGA II

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KILIMO  CHA MPUNGA (SHADIDI)

KILIMO CHA MPUNGA (SHADIDI)

KILIMO CHA TIKITI MAJI

KILIMO CHA TIKITI MAJI

DONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA MPUNGA II MAANDALIZI II MBOLEA II MAVUNO

DONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA MPUNGA II MAANDALIZI II MBOLEA II MAVUNO

WAKULIMA WA MPUNGA PAWAGA IRINGA WATAKIWA KUTUNZA MAJI KWENYE MRADI MKUBWA WA UMWAGILIAJI

WAKULIMA WA MPUNGA PAWAGA IRINGA WATAKIWA KUTUNZA MAJI KWENYE MRADI MKUBWA WA UMWAGILIAJI

SHAJARA | Mchakato kufikia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

SHAJARA | Mchakato kufikia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

В центре внимания — выращивание зелёного болгарского перца | Сельское хозяйство и бизнес

В центре внимания — выращивание зелёного болгарского перца | Сельское хозяйство и бизнес

KILIMO CHA MPUNGA

KILIMO CHA MPUNGA

UHAKIKA WA MASHAMBA YENYE MAJI / KILIMO CHA #MPUNGA PESA IPO  ASEE 🔥🔥🔥

UHAKIKA WA MASHAMBA YENYE MAJI / KILIMO CHA #MPUNGA PESA IPO ASEE 🔥🔥🔥

Kapunga Rice Project - Tanzania

Kapunga Rice Project - Tanzania

Rice Farming: Complete Guide from Seeds to Harvest

Rice Farming: Complete Guide from Seeds to Harvest

Modern Agriculture Machines That Are At Another Level #4

Modern Agriculture Machines That Are At Another Level #4

SARO FIVE KATIKA KILIMO SHADIDI NA NARECA

SARO FIVE KATIKA KILIMO SHADIDI NA NARECA

KILIMO CHA NYANYA CHUNGU

KILIMO CHA NYANYA CHUNGU "NGOGWE"

KIAZI LISHE

KIAZI LISHE

Bw.Peter Kulindwa asifu Programu ya mbolea za Yara kwenye zao la mpunga-Igunga

Bw.Peter Kulindwa asifu Programu ya mbolea za Yara kwenye zao la mpunga-Igunga

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI  TANGANYIKA.

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA.

#TBC SHAMBANI - KESHO BORA | FAHAMU ZAIDI KUHUSU KILIMO CHA MPUNGA

#TBC SHAMBANI - KESHO BORA | FAHAMU ZAIDI KUHUSU KILIMO CHA MPUNGA

Vijana na Kilimo

Vijana na Kilimo

🌾 How Rice is Grown in the USA | Modern American Rice Farming and Harvesting Million Tons of Rice

🌾 How Rice is Grown in the USA | Modern American Rice Farming and Harvesting Million Tons of Rice

Kilimo Cha Vitunguu ni Bilaa !! Ekari Moja Tani 30 Sawa na Million 30 Na zaidi 🙌🙆🤯

Kilimo Cha Vitunguu ni Bilaa !! Ekari Moja Tani 30 Sawa na Million 30 Na zaidi 🙌🙆🤯

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]