Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI TANGANYIKA.

Автор: HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

Загружено: 2023-03-22

Просмотров: 1226

Описание:

Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha Tsh. bilioni 9 kwa ajili ya kuanzisha Kilimo cha umwagiliaji katika mashamba ya mpunga ya Gereza la Kalilankulukulu katika Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.

Akizungumza baada ya kutembelea wakulima mbalimbali Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amesema hadi kufikia mwezi Aprili mwaka huu kiasi cha Tsh. Milioni mia nane kitakuwa kimeshaingizwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji katika eneo hilo lenye ukubwa wa takribani Ekari mia tano.

DC Buswelu amemhakikishia Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa watahakikisha wanasimamia kikamilifu na kwa ukaribu mradi huo kwa kuwa si tu utawanufaisha Magereza bali utanufaisha pia wananchi wa mkoa wa Katavi na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake Mkuu wa Gereza hilo, SP Bosco Paulo Lupala amesema katika msimu huu wa Kilimo wamelima Ekari 150 za zao la mpunga kwa kutumia nguvu kazi ya wafungwa ambapo wanatarajia kuvuna gunia 1700 mpaka 2000 sawa na Tani mbili za mpunga.

SP Lupala amemshukuru Rais kwa kutenga fedha kwa ajili ya kuliendeleza eneo hilo kwani ujio wa mradi huo utawapunguzia changamoto mbalimbali huku wakitarajia uzalishaji kuwa mkubwa zaidi kutokana na zana za kisasa zitakazotumika ukilinganisha na ukubwa wa eneo.

Nae Afisa Kilimo Wilaya ya Tanganyika Philemon Mwita amesema wanaendelea kutoa elimu kwa wakulima ili watumie kanuni bora za Kilimo ikiwemo matumizi sahihi ya pembejeo.

Kufuatia mradi huo mkubwa, baadhi ya wananchi wawanaozunguka eneo hilo wamemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwakumbuka na wanaamini ni mradi utakaowanufaisha ikiwemo kukabiliana na changamoto ya mvua.

Machi 22,2023 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika akiwa ameambatana na Afisa Kilimo wametembelea wakulima wa mazao mbalimbali ikiwa ni kujionea hali ilivyo baada ya mbolea ya ruzuku iliyotelewa na Serikali kama ilitumika ipasavyo na wamejirisha uzalishaji utakuwa mkubwa kutokana na wakulima kuitumia fursa ya pembejeo ya ruzuku.

SERIKALI YATENGA BILIONI 9 KUANZISHA KILIMO CHA MPUNGA CHA UMWAGILIAJI  TANGANYIKA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KATAVI

FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KATAVI

Katavi Mkoa wa kilimo na utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano.

Katavi Mkoa wa kilimo na utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano.

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

Kilimo Cha Mpunga Kilivyo Geuka Fursa kwa Wakazi wa Mbarali

Kilimo Cha Mpunga Kilivyo Geuka Fursa kwa Wakazi wa Mbarali

UBOVU wa BARABARA UNAVYOPOTEZA MAPATO BANDARI YA KAREMA KATAVI

UBOVU wa BARABARA UNAVYOPOTEZA MAPATO BANDARI YA KAREMA KATAVI

#TBC 1:   CHAMA CHA USHIRIKA LINDI | WAKULIMA WA SASA NI TOFAUTI NA WAZAMANI

#TBC 1: CHAMA CHA USHIRIKA LINDI | WAKULIMA WA SASA NI TOFAUTI NA WAZAMANI

MAJI YA ZIWA TANGANYIKA YAINGIA KATIKA MAKAZI  YA WATU KAREMA

MAJI YA ZIWA TANGANYIKA YAINGIA KATIKA MAKAZI YA WATU KAREMA

HISTORIA YA KAREMA

HISTORIA YA KAREMA

MAKALA SHAMBANI: Kilimo cha mpunga kinavyomlipa Raphael Simon

MAKALA SHAMBANI: Kilimo cha mpunga kinavyomlipa Raphael Simon

#TAZAMA| WAZIRI MKUU AWASHA MOTO KIGOMA KILIMO CHA MICHIKICHI, ATOA MAELEKEZO HAYA

#TAZAMA| WAZIRI MKUU AWASHA MOTO KIGOMA KILIMO CHA MICHIKICHI, ATOA MAELEKEZO HAYA

Lucerne Farming in Botswana: A Guide to Successful Cultivation and Harvest

Lucerne Farming in Botswana: A Guide to Successful Cultivation and Harvest

Wakulima Dakawa wanavyonufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya Serikali kukarabati mindombinu

Wakulima Dakawa wanavyonufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya Serikali kukarabati mindombinu

Katavi yajikita kwenye kilimo cha kahawa

Katavi yajikita kwenye kilimo cha kahawa

WANANCHI WA MISHAMO WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUANZA UTEKELEZAJI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

WANANCHI WA MISHAMO WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUANZA UTEKELEZAJI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

RC MRINDOKO AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA NA MAZAO MENGINE KWA MWAKA 2025/26

RC MRINDOKO AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA NA MAZAO MENGINE KWA MWAKA 2025/26

Kanuni (10) Muhimu/ kilimo Bora Cha mpunga

Kanuni (10) Muhimu/ kilimo Bora Cha mpunga

Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa

Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

Акунин ошарашил прогнозом! Финал войны уже решён — Кремль скрывает правду

Tanganyika: Mapato ya Hewa Ukaa yajenga Zahanati,Wanachi 34,242 kunufaika.

Tanganyika: Mapato ya Hewa Ukaa yajenga Zahanati,Wanachi 34,242 kunufaika.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]