JIPU:Dalili,Sababu,Matibabu
Автор: WikiElimu
Загружено: 2020-05-02
Просмотров: 41731
#Faraji_ A_Zarala #WikiElimu #Jipu
+Jipu (abscess) ni mkusanyiko wa usaha katika sehemu yoyote ya mwili, ambayo mara nyingi huisababisha ivimbe
+Dalili za jipu hutegemea hasa mahali lilipo. Dalili za kawaida ni kama zifuatazo:
• Maumivu kwenye eneo lenye jipu
• Kuhisi baridi
• Homa
• Kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi katika eneo lililoathirika
• Kujisikia vibaya, wasiwasi, au hisia mbaya
• Kichwa kuuma
• Kuvimba katika eneo lenye jipu, tishu za eneo hilo hukakamaa
• Kupoteza hamu ya kula
• Kupoteza hisia katika eneo lililoathirika
• Kichefuchefu na kutapika
• Kuvimba
SUBSCRIBE TO SUPPORT US
KUJIFUNZA ZAIDI
*Website:http://wikielimu.com/index.php?title=...
TUFUATILIE
*Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_... *Instagram: / wikielimu *Twittwer: / wikielimu
*Music credit:https://www.free-stock-music.com/
ASANTE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: