Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NENO LA SIKU | Matendo 18 | Maombi Ya Kushinda Mashambulizi Ya Kiroho | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2025-07-26

Просмотров: 4728

Описание:

BWANA YESU asifiwe! Siku leo tunaenda kufanya maombi ya kushinda mashambulizi ya kiroho. Tunaishi kwenye dunia ambayo, shetani pamoja na wajumbe wake wanawinda maisha yetu usiku na mchana. Na mbinu mojawapo wanayoitumia kuharibu maisha yetu, ni kwa kuturushia mashambulizi ya kiroho.

Katika kipindi cha leo, utajifunza nini maana ya mashambulizi ya kiroho. Utajifunza dalili za kukujulisha ya kwamba unashambuliwa kiroho. Utajifunza mikakati na agenda za kusimamia katika maombi, ili uweze kushinda mashambulizi ya kiroho. Na mwisho kabisa, utapata nafasi ya kuomba maombi ya kushinda kila aina ya shambulizi la kiroho kwenye maisha yako.

Ninaamini, kupitia maombi haya, BWANA YESU anaenda kukufungua na kukuweka huru kwa utukufu wa jina lake takatifu. Nakuombea ushindi, nakuombea uzima, na nakuombea kufunguliwa na kutembea katika uhuru, amani, na furaha katika Roho Mtakatifu. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukutunza na kukulinda siku zote. Mungu akubariki kwa baraka za milele yote. Ameen!

Neno la Siku
Isaac Javan | +255 745 764 572

#tanzania #kenya #uganda #millardayo #maombi #mafundisho #nenolamungu #biblia #prayer #prayerpoints #annointing #ukombozi #uponyaji #shuhuda #yesu #maombiyasiku #zaburi #holyspirit #arusha #dodoma #gwajima #mwalimu #gospel #injili #injiliyakristo #upendo #wokovu #heaven #semina #mkutano #maisha #toba #huduma #deliveranceprayer #pastor #nyimbo #tenzizarohoni #gospelmusic

NENO LA SIKU | Matendo 18 | Maombi Ya Kushinda Mashambulizi Ya Kiroho  | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Сборник Самых Невероятно Красивых и Очень Нежных Мелодий Божественная музыка трогает до глубины Души

Сборник Самых Невероятно Красивых и Очень Нежных Мелодий Божественная музыка трогает до глубины Души

NENO LA SIKU | Matendo 19 | Maombi Ya Kufungua Nguvu Ya Mikono  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 19 | Maombi Ya Kufungua Nguvu Ya Mikono | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 21 | Maombi Ya Kushinda Sadaka Za Uovu

NENO LA SIKU | Luka 21 | Maombi Ya Kushinda Sadaka Za Uovu

Alinyanyaswa Na Wafanyakazi Wenzake Kumbe Hawakujua! Kua Yeye Ndio Boss

Alinyanyaswa Na Wafanyakazi Wenzake Kumbe Hawakujua! Kua Yeye Ndio Boss

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

DHAMBI HII HAINA MSAMAHA(kukufuru Roho mtakatifu)

DHAMBI HII HAINA MSAMAHA(kukufuru Roho mtakatifu)

MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

NENO LA SIKU | Matendo 26-28 | Maombi Ya Kupata Msaada Wa Mungu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 26-28 | Maombi Ya Kupata Msaada Wa Mungu | Isaac Javan

NYIMBO ZA KUONDOA MATATIZO I CHANSONS POUR SURMONTER LES PROBLÈMES

NYIMBO ZA KUONDOA MATATIZO I CHANSONS POUR SURMONTER LES PROBLÈMES

ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris

ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris

NENO LA SIKU | Mathayo 16 | Maombi Ya Kushinda Milango Ya Kuzimu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 16 | Maombi Ya Kushinda Milango Ya Kuzimu | Isaac Javan

ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS

ROZARI YA MOYO MTAKATIFU WA YESU | CHAPLET OF SACRED HEART OF JESUS

NENO LA SIKU | Matendo 16 | Maombi Ya Kushinda Vita Ya Usiku Wa Manane | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 16 | Maombi Ya Kushinda Vita Ya Usiku Wa Manane | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 20 | Maombi Ya Kushinda Roho Za Ajali  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 20 | Maombi Ya Kushinda Roho Za Ajali | Isaac Javan

ANGALIA UNYAKUO UTAKAVYO KUWA SIKU ZA MWISHO JIFUNZE JAMBO HAPA ukihitaji kuokoka+255755374694

ANGALIA UNYAKUO UTAKAVYO KUWA SIKU ZA MWISHO JIFUNZE JAMBO HAPA ukihitaji kuokoka+255755374694

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Nyimbo za kuabudu na maombi

Nyimbo za kuabudu na maombi

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

Почему женщина, избранная Богом, вызывает столько зависти | Проповедь Билли Грэма

Почему женщина, избранная Богом, вызывает столько зависти | Проповедь Билли Грэма

MAOMBI YA KUKOMESHA MATATIZO YANAYO JIRUDIA | MWL EZEKIEL MALANDO | 07 Septemba, 2023

MAOMBI YA KUKOMESHA MATATIZO YANAYO JIRUDIA | MWL EZEKIEL MALANDO | 07 Septemba, 2023

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com