Darsa ya Tafsiri: شرح المصباح المنير في تهذيب تفسير ابن الكثير 🔴LIVE Aayah 118 Ust Abu Raifah
Автор: Darsa na Mihadhara
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 21
Darsa ilifanyika Rajab 05, 1447H Alhamisi Disemba 25, 2025
Tafsiri ya Suratul Baqarah تفسير سورة البقرة
﴾وَقَالَ الَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ لَوْلَا يُكَلِّمُنَا اللَّـهُ أَوْ تَأْتِينَا آيَةٌ ۗ كَذَٰلِكَ قَالَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِم مِّثْلَ قَوْلِهِمْ ۘ تَشَابَهَتْ قُلُوبُهُمْ ۗ قَدْ بَيَّنَّا الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يُوقِنُونَ ﴿١١٨
"Na wakasema wale wasiojua: Lau Angetusemesha Allah au ingetujia Aayah (Ishara)! Kadhalika walisema wale waliokuwa kabla yao mfano wa kauli yao, zimeshabihiana nyoyo zao; kwa yakini Tumekwishabainisha Aayaat (Ishara, Dalili za wazi) kwa watu wenye yakini."
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: