Zanzibar kufanya Hauli ya aliyekuwa Kadhi Mkuu wake na mwanazuoni mkubwa mwenye nasaba na Mtume
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2022-05-10
Просмотров: 5222
Wanazuoni kutoka nchi mbalimbali duniani, masheikh na wananchi visiwani Zanzibar wanatarajiwa kushiriki hauli au kisomo cha kumuombea aliyekuwa kadhi mkuu na mwanazuoni mkubwa visiwani humo Al-habib Ahmad bin Abibakar bin Sumeit.
Hauli hiyo itafanyika tarehe 15 mwezi huu wa Mei kisiwani Unguja katika msikiti wa Ijumaa Malindi ambapo ndipo alipozikwa mwanazuoni huyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: