9. Jinsi ya Kuongeza "Methods" Kwenye Class (Zifanye Objects Zako Ziwe Hai) | Java OOP
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 36
Mpaka sasa, Objects zako ni kama maboksi tu ya kuhifadhia data. Leo tunazipa uhai. Tunazifanya zipige kura, ziongee, na zifanye maamuzi.
Katika video hii (Sehemu ya 9), tunahama kutoka kwenye Objects zilizolala kwenda kwenye "Smart Objects". Tunajifunza dhana ya Methods (Behavior) dhidi ya Fields (State). Kwa kutumia mfano wa Video Game Character, nakuonyesha jinsi ya kuandika logic ndani ya Class ili isijirudie rudie kwenye Main method yako. Hii ndio siri ya kuandika code safi (Clean Code) inayojitegemea.
Umeelewa tofauti ya State na Behavior? Andika "SMART OBJECT" kwenye comments kama umewasha taa! 👇
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#java #oop #programming
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: