RAIS SAMIA AKISHUHUDIA MAKOMANDO WAKIJIRUSHA UWANJANI KWA HELIKOPTA ZA KIJESHI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-12-09
Просмотров: 283251
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 9 Desemba 2021, ameshiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru viwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam. katika maadhimisho hayo kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Tanzania kikipita mbele yake kuonesha umahiri.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: