Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-04-19
Просмотров: 41928
April 19 2016 ni siku ya uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amelizindua rasmi daraja la Kigamboni na amependekeza liitwe jina la Mwalimu Nyerere na si jina lake kama wengine walivyopendekeza. Hii ni hotuba yake aliyoitoa wakati wa uzinduzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: