BUNGENI | Spika Dkt. Tulia alivyoshughulikia mvutano wa Mbunge Gambo na Waziri Mchengerwa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-04-23
Просмотров: 4870
Mapema Bungeni hii leo Aprili 23, 2025 Waziri wa TAMISEMI alitoa mrejesho wa tuhuma za ubadhirifu zilizotolewa na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
Baada ya kutolewa kwa mrejesho huo, mvutano wa hoja ukataka kuendelea hatimaye Spika, Dkt. Tulia Ackson akafanya uamuzi.
Tazama ilivyokuwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: