Mbunge Shabiby aonya kuhusu upigaji kwenye bei ya Mafuta
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-04-06
Просмотров: 5795
Mbunge wa Gairo Mohamed Shabiby amesema kuwa vita vya urusi vinaweza kuwa fursa ya watanzania kunufaika na bei ya mafuta kwani wanaweza kufanya biashara hiyo kwa ushindani na kuachana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja mfumo ambao umekuwa ukizuia wafanyabiashara kuagiza pekee ili kuleta ushindani wa bei.
Aidha Mbunge huyo ameeleza kuwa yawezekana kumekuwa na upigaji kwenye mfumo wa Bulk procurement ambao umekua ukitumika kuagiza mafuta nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: