Mbunge Abood alia na kero za Morogoro mjini Bungeni; ikiwemo stendi mpya
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-04-11
Просмотров: 2968
Leo Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood amechangia ambapo moja ya mambo aliyoyawasilisha Bungani hapa ni pamoja na kero ambazo zimekuwa zikiwasumbua wananchi wa morogoro ikiwemo Stand ya Daladala ambayo analalamika kuwa ipo mbali na makazi ya watu hivyo kuleta adha kwa wananchi wake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: