UNATAKA KUFANIKIWA?TUMIA USIKU WAKO VIZURI..
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-10-14
Просмотров: 13696
“Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa.”
ZAB. 19:2 SUV
“Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru, Kwa sababu ya hukumu zako za haki.”
ZAB. 119:62 SUV
“Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza. Ghafula pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa.”
MDO 16:25-26 SUV
“Hata ikawa, usiku wa manane BWANA akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa Farao aliyeketi katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa mtu aliyefungwa katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.”
KUT. 12:29 SUV
“Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu.”
LK. 6:12 SUV
Usiku kwako una maana kiasi gani??
Kwa mistari hii michache ya neno la Mungu kati ya Mingi inaonyesha UMUHIMU WA USIKU na NINI KINATOKEA WAKATI WA USIKU
Ili mwanadamu asogee kwenye maeneo mbalimbali kuna vitu vinapatikana unapoamua kutumia usiku wako vema...
Usiku umejazwa na maarifa ambayo ukiweza kuomba,kusoma,kuwaza na hata kutafakari una uwezo wa ku-capture UHALISIA na ukapiga hatua kubwa sana...
Tujifunze kwa pamoja na MUNGU AKUPE KUCHUKUA HATUA YA KUTUMIA USIKU WAKO VYEMA...
Wanawake tuonane 25.10.2020-KIRAMUU HALL.
Note;FULL SERMON IPO YOUTUBE(Minister Mocky)
Title:MAFUNDISHO JUU YA UCHUMI WA MWANAMKE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: