Episode 5 – MJUE SANA MUNGU: Sifa Zake | Mungu Ni Wa Rehema, Huruma na Fadhili (God is Merciful)
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-08-19
Просмотров: 121
Karibu kwenye Sehemu ya 5 ya mfululizo wa MJUE SANA MUNGU!
Katika kipindi hiki tunazungumzia jinsi Mungu alivyo wa rehema, huruma na mwenye fadhili nyingi—maana yake, umuhimu wa kumjua Mungu katika tabia hizi, na jinsi zinavyoonekana katika maisha yetu ya kila siku.
Utakapojifunza nasi utagundua:
✅ Maana ya rehema, huruma na fadhili za Mungu
✅ Jinsi ya kumjua tabia hizi kunavyoweza kubadilisha mtazamo na imani yako
✅ Njia ambazo Mungu ametuonyesha rehema, huruma na fadhili katika maisha yetu
📖 " Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia..” (Ayubu 22:21)
👉 Karibu ujenge imani yako na uone upendo wa Mungu kwa undani zaidi!
🔔 Usisahau ku-subscribe ili usikose Sehemu inayofuata.
English (optional for search / wider audience):
Welcome to Episode 5 of Know God More! In this teaching, we explore God’s mercy, compassion, and kindness—what it means, why it’s important to know these aspects of God, and how they appear in our daily lives.
#MjueSanaMungu #Uaminifuwamungu #GodsFaithfulness #Subscribe #sharemarkettips
0:00 – Utangulizi
1:03 – Kwa nini Rehema, Huruma na Fadhili za Mungu
3:48 – Kuelewa Dhana ya Dhambi
6:57 – Asili ya Mungu wa Rehema, Huruma na Fadhili
9:59 – Huruma na Rehema za Mungu kwangu Binafsi
13:12 – Wito wa Kutafakari na Kupokea Rehema, Huruma na Fadhili za Mungu Ili Tusiangamie
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: