Wafanyabiashara wa muguka wakadiria hasara Mombasa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-05-25
Просмотров: 29174
Wafanyabiashara wa muguka kaunti za Mombasa na Kilifi wanakadiria hasara baada ya kitega uchumi chao kupigwa marufuku siku mbili zilizopita. Francis Mtalaki amekuwa sokoni kongwea jijini mombasa ambapo amekutana na baadhi ya wafanyibiashara hao na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: