Hiki ndicho kituo cha Afya Lowa kilichopo FPCT Jimbo la Shy Magharibi
Автор: FPCT Shalom Temple Kahama
Загружено: 2018-09-07
Просмотров: 387
Kituo cha Afya Lowa ni miongoni mwa vituo vingi vilivyoenea karibu kila wilaya hapa Tanzania ambavyo vinamilikiwa letu la kanisa la FPCT Tanzania, kituo hiki kinapatikana wilayani Kahama katika kijiji kinachoitwa Lowa ndani ya kanisa la mahali Lowa Jimbo la Shinyanga Magharibi,
Ni kilomita kadhaa toka ulipo mji wa Kahama eneo la kusini, Alhamisi Septemba 06 2018 Shalom Temple TV ilifika katika kituo hicho na hivi ndivyo kilivyo sasa angalia video hapa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: