LORI LA MAFUTA LAPINDUKA MIKESE, MOROGORO.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-06-17
Просмотров: 3809
#VIDEO: Lori la mafuta lenye namba za usajili RU 8092, kampuni ya Lunyina ya Malawi, limepata ajali katika Kijiji Lubungo, Mkoa wa Morogoro, Kata ya Mikese, mara baada ya kujaribu kuyakwepa malori mengine yaliyokuwa yana ‘overtake’ bila kuchukua tahadhari. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: