WATATU WASHINDWA KUFIKA KILELE CHA UHURU ,KILIMANJARO
Автор: TZA MEDIA HUB
Загружено: 2025-07-26
Просмотров: 116
Safari ya siku sita ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa washiriki 49 imehitimishwa kwa mafanikio makubwa , ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuchangisha fedha na kuelimisha jamii kuhusu mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI.
Zoezi hili limeandaliwa na Kampuni ya AngloGold Ashanti kupitia Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwake hapa nchini.huku wawashiriki watatu kati ya 50 waliopanda wakishindwa kufika kelele cha Uhuru
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: