MWINJAKU: Alichoelezwa na LULU Baada ya Kumtembelea Gerezani
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-12-29
Просмотров: 90443
Subscribe / uwazi1
Muigizaji anayetamba na kunga'ra kupitia kipindi cha Mahusiano cha Clouds Tv, Mwinjaku, baada ya kumtembelea malkia wa filamu nchini , Elizabeth Michael 'Lulu', ameongea na Global Tv na kuelezea kile ambacho Lulu alimueleza ikiwa ni pamoja na kwamba anajutia sana kosa lililomfikisha katika kuta za magereza la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenziye Steven Kanumba.
Mwinjaku pia amesema Lulu anahofu juu ya mapokezi ya watanzania mara atakapomaliza hukumu yake na kurudi uraiani, kama wataendelea kumpenda au watakuwa na chuki dhidi yake, lakini alijitahidi kumpa moyo huku akimsisitiza kuwa hakuna binadamu ambaye hasahau hivyo asiwe na hofu.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: