Bishop Gwajima: "Naipenda Tanzania !|Najisumbua kwa kuwa ndani yangu kuna MOTO WA HAKI".
Автор: Siri za Ufalme
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 12143
Bishop Gwajima aeleza kwa ufupi historia yake ya kumtumikia Mungu. Ameanza kazi ya uchungaji mwaka 1993, na safari yake si ya ghafla bali ni mchakato wa miaka mingi ya majaribu, kujifunza na uaminifu. Kwa Dar es Salaam pekee, ana zaidi ya miaka 30 katika huduma.
#motivation #viral #BishopGwajima #Miaka30YaHuduma #HistoriaYaHuduma #KumtumikiaMungu #GospelTanzania #FaithJourney #ChristianTrending
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: