Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 23/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-23

Просмотров: 2662

Описание:

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 23/01/2026

UJUMBE WA LEO: MAMBO YA KUOMBEA KATIKA MSIMU MPYA

(Prayer Priorities for a New Season)

Mhubiri 3 : 1

Ni kukufahamisha maeneo muhimu ya kuombea katika msimu wako mpya ili uimarishe mahusiano yako na Mungu na ufanikiwe kimaisha.

AGENDA ZA MAOMBI YA KINABII (MSIMU MPYA)

1. OMBA MUNGU AKUPE WATU WATAKAOKUSAIDIA KATIKA MSIMU WAKO MPYA.

Esta 4 : 14

14 Kwa maana wewe ukinyamaza kabisa wakati huu, ndipo kutakapowatokea Wayahudi msaada na wokovu kwa njia nyingine; ila wewe utaangamia pamoja na mlango wote wa baba yako; walakini ni nani ajuaye kama wewe hukuujia ufalme kwa ajili ya wakati kama huo?

Kutoka 17 : 12
12 Lakini mikono ya Musa ilikuwa mizito; basi wakatwaa jiwe, wakaliweka chini yake akalikalia. Haruni na Huri wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na mmoja upande huu; mikono yake ikathibitika hata jua lilipokuchwa.

2. OMBA MUNGU AKUPE NEEMA NA KIBALI

Esta 2 : 17
17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.

Zaburi 5 : 12
12 Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; Bwana, utamzungushia radhi kama ngao.

3. OMBA MUNGU AKUPE AKILI NA UFAHAMU WA KUTEMBEA SAHIHI KATIKA MSIMU WAKO MPYA

Danieli 9 : 22
22 Akaniagiza, akaongea nami, akasema, Ee Danieli, nimetokea sasa, ili nikupe akili upate kufahamu.

Yakobo 1 : 5
5 Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.

4. OMBA KUHUSU MAONO NA MIPANGO YAKO NDANI YA MSIMU HUU MPYA.

Yeremia 29 : 11 - 13
11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

Habakuki 2 : 2
2 Bwana akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

5. OMBA MUNGU AKUPE UPAKO MPYA KWA AJILI YA MSIMU MPYA

Zaburi 92 : 10
10 Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa mafuta mabichi.

1 Samweli 10 : 1 - 6

1 Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! Bwana hakukutia mafuta uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa Bwana, na kuwaokoa na mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa Bwana amekutia mafuta e uwe mkuu juu ya urithi wake.

2 Utakapoondoka kwangu leo, utakutana na wanaume wawili karibu na kaburi la Raheli, katika mpaka wa Benyamini huko Selsa; nao watakuambia, Punda hao uliokwenda kuwatafuta wameonekana; na tazama, baba yako ameacha kufikiri habari za punda, anafikiri habari zenu, akisema, Nifanye nini kwa ajili ya mwanangu?

3 Kisha utakwenda mbele kutoka hapo, na kufika kwa mwaloni wa Tabori, na hapo watu watatu watakutana nawe, wanaokwea kumwendea Mungu huko Betheli, mmoja anachukua wana-mbuzi watatu, na mwingine anachukua mikate mitatu, na mwingine anachukua kiriba cha divai;

4 nao watakusalimu na kukupa mikate miwili; nawe utaipokea mikononi mwao.

5 Baada ya hayo utafika Gibea ya Mungu, hapo palipo na ngome ya Wafilisti; kisha itakuwa, utakapofika mjini, utakutana na kundi la manabii wakishuka kutoka mahali pa juu, wenye kinanda, na tari, na kinubi, na filimbi mbele yao, nao watakuwa wakitabiri;

6 na roho ya Bwana itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.

Mhubiri: Mwl. Davidney Kaale

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 23/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 23/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 23/01/2026

Friday Night Vigil || Apostle John Kimani William

Friday Night Vigil || Apostle John Kimani William

AMALIZA UTATA! HECHE ATEMA NYONGO MSIBANI -AWEKA MSIMAMO MKALI wa CHAMA KUSHIRIKI MSIBA wa MZEE MTEI

AMALIZA UTATA! HECHE ATEMA NYONGO MSIBANI -AWEKA MSIMAMO MKALI wa CHAMA KUSHIRIKI MSIBA wa MZEE MTEI

MKESHA WA MAOMBI | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

MKESHA WA MAOMBI | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

RECHOL DANGWA AMETOWA MANENO YA KUTISHA KUHUSU POLEPOLE

RECHOL DANGWA AMETOWA MANENO YA KUTISHA KUHUSU POLEPOLE

ШИКАРНЫЙ ФИЛЬМ ПРИКЛЮЧЕНИЕ ПРО СУРОВЫЙ ДИКИЙ ЗАПАД | ФИЛЬМ, ОТ КОТОРОГО НЕВОЗМОЖНО ОТОРВАТЬСЯ

ШИКАРНЫЙ ФИЛЬМ ПРИКЛЮЧЕНИЕ ПРО СУРОВЫЙ ДИКИЙ ЗАПАД | ФИЛЬМ, ОТ КОТОРОГО НЕВОЗМОЖНО ОТОРВАТЬСЯ

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

Marekani yajiondoa rasmi W.H.O. Katika Dira ya Dunia

Dr.Ipyana // SIO MIMI

Dr.Ipyana // SIO MIMI

IBADA YA MFUNGO WA SIKU 21 | SIKU YA 12  |  22 JANUARY 2026

IBADA YA MFUNGO WA SIKU 21 | SIKU YA 12 | 22 JANUARY 2026

RECHOL AMEKIWASHA TIKTOK LEO HUWEZI AMINI

RECHOL AMEKIWASHA TIKTOK LEO HUWEZI AMINI

KIPINDI MAALUM CHA USIKU WA BWANA || PROPHET NICOLAUS SUGUYE

KIPINDI MAALUM CHA USIKU WA BWANA || PROPHET NICOLAUS SUGUYE

MBOWE AGEUKA MBOGO MSIBANI KWA MTEI, 🤯

MBOWE AGEUKA MBOGO MSIBANI KWA MTEI, 🤯

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

KKKT USHARIKA WA BOKO: SEMINA  YA NENO LA MUNGU , IJUMAA  23/01/2026 MWL ENG GOODLUCK MUSHI

KKKT USHARIKA WA BOKO: SEMINA YA NENO LA MUNGU , IJUMAA 23/01/2026 MWL ENG GOODLUCK MUSHI

INASIKITISHA MJANE ASIMULIA MUME WAKE ALIVYOPIGWA RISASI/BIBI NAE AONGEA KWA UCHUNGU KUPIGWA RISASI.

INASIKITISHA MJANE ASIMULIA MUME WAKE ALIVYOPIGWA RISASI/BIBI NAE AONGEA KWA UCHUNGU KUPIGWA RISASI.

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI JANUARI 23, 2026 - MVUA YA MAWE YAUA MTOTO WA MIAKA MIWILI MBOZI

TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI JANUARI 23, 2026 - MVUA YA MAWE YAUA MTOTO WA MIAKA MIWILI MBOZI

Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

ОН ПЫТАЛСЯ СЛУЖИТЬ ЧЕСТНО, НО НАТКНУЛСЯ НА МЕНТОВСКОЙ БЕСПРЕДЕЛ | НАСТОЯЩИЙ МУЖСКОЙ БОЕВИК

ОН ПЫТАЛСЯ СЛУЖИТЬ ЧЕСТНО, НО НАТКНУЛСЯ НА МЕНТОВСКОЙ БЕСПРЕДЕЛ | НАСТОЯЩИЙ МУЖСКОЙ БОЕВИК

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com