Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Miili mingine miwili yafukuliwa kwa mganga Singida, ulinzi waimarishwa

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-08-25

Просмотров: 11351

Описание:

Mara baada ya kuzuka kwa taharuki ya miili mingine miwili kufukuliwa katika nyumba ya mganga wa kienyeji mkoani Singida, Jeshi la Polisi mkoani humo limeimarisha ulinzi katika eneo hilo huku miili hiyo ikifikia mitatu mpaka sasa.

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Amon Kakwale wakati akizungumza na wananchi leo Jumapili, Agosti 25, 2024 akisema eneo hilo litakuwa chini ya Jeshi la Polisi mpaka taratibu zote zitakapokamilika.

Amesema miili hiyo mingine iliyofukuliwa imeshindwa kutambulika, hivyo kitakachofanyika ni kupima vinasaba vya miili hiyo na wote waliopotelewa na ndugu zao ili waweze kutambua miili hiyo ni jinsia gani na imetokana na familia gani.

“Tukishachukua sampuli za miili hii na ndugu ambao walipotelewa tutafanya uchunguzi wa vinasaba vinavyoweza kututambulisha jinsia ya mwili mmoja na mwingine kwa sasa sio rahisi kutambua. Kuanzia sasa na kuendelea eneo hili litakuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi,” amesema Kamishna Kakwale.

Aidha Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha amesema katika maeneo yao wameingia waganga wa kienyeji maarufu kama lambalamba ambao hujitafutia fedha kwa njia zisizo halali.

Miili mingine miwili yafukuliwa kwa mganga Singida, ulinzi waimarishwa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

SAKATA LA MGANGA ALIYEUA WATU SINGIDA NA KUWAZIKA NYUMBANI KWAKE, UKWELI MCHUNGU NI HUU...

SAKATA LA MGANGA ALIYEUA WATU SINGIDA NA KUWAZIKA NYUMBANI KWAKE, UKWELI MCHUNGU NI HUU...

Mganga Wa Kienyeji Mbaroni, Tuhuma Za Mauaji Ya Kijana. Watatu Wakamatwa, Uchunguzi Waendelea

Mganga Wa Kienyeji Mbaroni, Tuhuma Za Mauaji Ya Kijana. Watatu Wakamatwa, Uchunguzi Waendelea

SIKIA ALICHOANDIKA JOHN HECHE BAADA YA WARIOBA KUSEMA BUNGE LILILOPITA LILIKUWA LA HOVYO

SIKIA ALICHOANDIKA JOHN HECHE BAADA YA WARIOBA KUSEMA BUNGE LILILOPITA LILIKUWA LA HOVYO

Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania

Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania

Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu

Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu

POLISI WAELEZEA TUKIO LA MGOMBEA ALIYEPIGWA RISASI NA ASKARI MAGEREZA SINGIDA

POLISI WAELEZEA TUKIO LA MGOMBEA ALIYEPIGWA RISASI NA ASKARI MAGEREZA SINGIDA

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

Самые Нелепые Ошибки Рабочих, Снятые на Камеру

SERIKALI MKOANI SINGIDA INAVYOTEKELEZA KWA KISHINDO MIRADI YA BARABARA VIJIJINI NA MJINI ( TARURA).

SERIKALI MKOANI SINGIDA INAVYOTEKELEZA KWA KISHINDO MIRADI YA BARABARA VIJIJINI NA MJINI ( TARURA).

Singida Town Tour | Tanzania

Singida Town Tour | Tanzania

Usiyoyajua, Maisha Ya Mganga Anayedaiwa Kuua na Kuzika Singida, Wakazi Wasimulia Alivyoanza Vituko

Usiyoyajua, Maisha Ya Mganga Anayedaiwa Kuua na Kuzika Singida, Wakazi Wasimulia Alivyoanza Vituko

🔴LIVE: SPIKA MSTAAFU TULIA AKINUKISHA MBELE YA WAZIRI MKUU MWIGULU, ALIA NA VIFO vya MAANDAMANO

🔴LIVE: SPIKA MSTAAFU TULIA AKINUKISHA MBELE YA WAZIRI MKUU MWIGULU, ALIA NA VIFO vya MAANDAMANO

MVUVI APOTEA MAJINI AKIJIVUNZA KUOGELEA ZIWA KINDAI SINGIDA

MVUVI APOTEA MAJINI AKIJIVUNZA KUOGELEA ZIWA KINDAI SINGIDA

TAZAMA WANANCHI WAVYOMKATAA MTENDAJI WA KATA MANYONI SINGIDA/M/Kiti CCM Mkoa AKATOA NENO LA FARAJA.

TAZAMA WANANCHI WAVYOMKATAA MTENDAJI WA KATA MANYONI SINGIDA/M/Kiti CCM Mkoa AKATOA NENO LA FARAJA.

TAHARUKI! KIJANA ALIYEPOTEA MWILI WAKE WAKUTWA KWA MGANGA, MABOMU YATUMIKA KUTAWANYA WANANCHI

TAHARUKI! KIJANA ALIYEPOTEA MWILI WAKE WAKUTWA KWA MGANGA, MABOMU YATUMIKA KUTAWANYA WANANCHI

ЕЗИД ИЗ КЛАНА УСОЯНА вскрыл живот в туалете ОВД — вор в законе, которого боялся весь Дальний Восток

ЕЗИД ИЗ КЛАНА УСОЯНА вскрыл живот в туалете ОВД — вор в законе, которого боялся весь Дальний Восток

WAKAZI WA MAKURO  WASIMULIA UNDANI WA  VISA VYA MGANGA ALIYEZIKA WATU KATIKA MAKAZI YAKE SINGIDA .

WAKAZI WA MAKURO WASIMULIA UNDANI WA VISA VYA MGANGA ALIYEZIKA WATU KATIKA MAKAZI YAKE SINGIDA .

Lambalamba

Lambalamba

Historia ya Mkoa Wa Singida

Historia ya Mkoa Wa Singida

Опасные связи: Лучшее. Изменил с молоденькой | 5 выпуск

Опасные связи: Лучшее. Изменил с молоденькой | 5 выпуск

«ОРЕШНИК» ГОТОВ. НАТО в панике? | Константин Сивков

«ОРЕШНИК» ГОТОВ. НАТО в панике? | Константин Сивков

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]