Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WAKAZI WA MAKURO WASIMULIA UNDANI WA VISA VYA MGANGA ALIYEZIKA WATU KATIKA MAKAZI YAKE SINGIDA .

Автор: MLIMBA TV

Загружено: 2024-08-27

Просмотров: 4319

Описание:

Wakati jeshi la polisi mkoani singida likiendelea na uchunguzi wa kina juu ya tukio la mganga wa kienyeji nkamba subi ambaye maarufu kama adam anayetuhumiwa kuua na kufukia miili ya watu watatu katika kata ya makuro na kata jirani ya mdida halmashauri ya singida , kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo imetoa agizo kwa viongozi wa vijiji kuendelea kuwasajili wageni wanaoingia katika mkoa huo ,huku mwenyekiti wa kijiji hicho cha makuro jackson lissu akitokomea kusikojulikana .
mlimba tv imefunga safari nakufika katika tarafa ya mtinko nakuzungumza na wananchi wa kata ya makuro na tarafa ya mtinko juu ya tukio hilo la kutisha kujua undani wa tukio hilo ,ambapo wameelezea vitimbi vya mganga huyo na genge lake jinsi walivyoacha huzuni kubwa katika kata hiyo na kata za jirani ,katika halshauri ya singida vijijini mkoani singida .

WAKAZI WA MAKURO  WASIMULIA UNDANI WA  VISA VYA MGANGA ALIYEZIKA WATU KATIKA MAKAZI YAKE SINGIDA .

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Usiyoyajua, Maisha Ya Mganga Anayedaiwa Kuua na Kuzika Singida, Wakazi Wasimulia Alivyoanza Vituko

SAKATA LA MGANGA ALIYEUA WATU SINGIDA NA KUWAZIKA NYUMBANI KWAKE, UKWELI MCHUNGU NI HUU...

Ulinzi Waimarishwa, Miili Mingine Ikifukuliwa Kwa Mganga

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

Mganga Wa Kienyeji Mbaroni, Tuhuma Za Mauaji Ya Kijana. Watatu Wakamatwa, Uchunguzi Waendelea

TAHARUKI! KIJANA ALIYEPOTEA MWILI WAKE WAKUTWA KWA MGANGA, MABOMU YATUMIKA KUTAWANYA WANANCHI

MIILI YA VIJANA WAWILI YAPATIKANA ZIWA SINGIDANI

Wawili wadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha Singida

Лос-Анджелес готовят к эвакуации, массовая стрельба в Чикаго

MFAHAMU DEREVA MWANAMKE MKOANI SINGIDA!

MFAHAMU DEREVA MWANAMKE MKOANI SINGIDA!

Hotuba ya Heche Aliyoitoa Singida, Mkoa Anaotokea Tundu Lissu

🔴#TBCLIVE: ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI SINGIDA

MVUVI APOTEA MAJINI AKIJIVUNZA KUOGELEA ZIWA KINDAI SINGIDA

Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu

MAPOKEZI YA ZIARA YA SHEIKH ISSA NASORO KATA YA MAKURO SINGIDA

Miili mingine miwili yafukuliwa kwa mganga Singida, ulinzi waimarishwa

#TBC: UFAHAMU MGODI WA SHANTA SINGIDA NA UZALISHAJI WAKE WA MADINI

Utashangaa!! Mganga akutwa na jeneza shambani kwake, Polisi wamshikilia

HISTORIA TAMU, USIYOYAJUA KUHUSU MKOA WA SINGIDA, MIKOA YOTE IMEUNGANISHWA HAPA, UTAMU WAIFUFUA TENA

TAZAMA WANANCHI WAVYOMKATAA MTENDAJI WA KATA MANYONI SINGIDA/M/Kiti CCM Mkoa AKATOA NENO LA FARAJA.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]