Wawili wadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha Singida
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-01-02
Просмотров: 2751
Wafanyabiashara wawili wa mbao Mkoani Singida wanasadikika kupotea katika mazingira ya kutatanisha siku chache kablaya sikukuu ya mwaka mpya.
Wawili hao ambao ni ndugu Juma Iddi (45) na Haruna Iddi (50) walipotea siku ya Alhamisi, Desemba 28, saa kumi na mbili jioni, mmoja akipotea katika maeneo ya Mwenge na mwingine Mghanga mjini Singida.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: