UCHANGANUZI | CCM kufunguliwa pazia la kuchukua fomu na sakata la CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-04-15
Просмотров: 2976
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikifungua pazia za uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu, chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekaa kando ya uchaguzi huo kwa kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Jambo hili limekaaje? Karibu katika #Uchanganuzi
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: