#TAZAMAl
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-07-17
Просмотров: 914
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua daraja la mawe lenye urefu wa mita 30 na upana wa mita saba lililojengwa katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu wilayani Mkalama na amewapongeza wahandisi kwa ubunifu na ubora, hivyo ameagiza wapewe kazi nyingine.
Majaliwa ameyasema wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua daraja hilo lililojengwa kwa kutumia teknolojia rahisi ya mawe akiwa kwenye ziara yake mkoani Singida. Daraja hilo limegharimu shilingi milioni 102.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: