NSSF YAANZA KUWEKEZA KWENYE JENGO KUBWA ZAIDI la KIBIASHARA DODOMA.....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-12-20
Просмотров: 3560
NSSF YAANZA KUWEKEZA KWENYE JENGO KUBWA ZAIDI la KIBIASHARA DODOMA.....
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya uwekezaji mkubwa katika Jiji la Dodoma kwa kujenga jengo la minara miwili ambalo litachochea ukuaji wa uchumi na utalii katika jiji hilo. Jambo limepongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule. Akizungumza tarehe 20 Disemba 2024 wakati wa zoezi la kupanda miti katika kiwanja namba 3 kitalu F, kilichopo Njedengwa jijini Dodoma.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: