VIWANJANI | Wachambuzi waujadili Mkutano Mkuu wa Yanga, Mzize kusalia Jangwani
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 1945
Wachambuzi wa soka Andrew Kingamkono na Godlisten Muro wameuchambua Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika Septemba 7, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Dar es Salaam.
Wachambuzi hao pia wamechambua uamuzi wa Yanga kumbakisha mshambualiaji wao Clement Mzize.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: