🔴
Автор: Mwenge SDA Church
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 634
#ibadasabato
#MchGeraldNyakrere
#NitakwendaKujihusisha
#JihusisheYesuAnakuja
Karibu katika Ibada ya Sabato || 10.01.2026
Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Ibada ya Sabato.
Wahudumu:
Mwenyekiti : Dr. Johannes Budeba.
Wito wa Maombi: Mch. Eliazari Sabuni.
Fungu Kuu : Moses Mboje
Zaka na Sadaka :Samson Gesogwe
Hubiri la Watoto : Thony Nkondola
Hubiri Kuu : Mch. Gerald Nyakrere.
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji Gerald Nyakrere +255688779995
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 215 930 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live / 1eypizkecr
Instagram: mwengesdachurchlive https://www.tiktok.com/@mwenge.sda.ch...
Mungu akubariki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: