Jifunze Namna ya Kuhakiki Taarifa Unazokutana Nazo
Автор: JamiiForums
Загружено: 2025-09-30
Просмотров: 37
Baada ya kujifunza kuhusu taarifa potofu, aina zake, madhara yake na namna zinavyosambaa, katika somo hili tunajikita kwenye uhakiki wa taarifa. Tutaanza kwa kuelewa maana ya uhakiki, kisha kuangalia hatua na mbinu zinazotumika katika kuthibitisha taarifa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: