TADB YAELIMISHA WAKULIMA SONGEA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2025-11-12
Просмотров: 13
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema ukuaji wa sekta ya kilimo unakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upatikanaji wa mitaji, maarifa ya kifedha na uelewa wa namna ya kushirikiana na taasisi za kifedha ili kuongeza uzalishaji.
Ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya elimu ya kifedha kwa wakulima wa Wilaya ya Songea, yaliyotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika ukumbi wa Songea Club, mjini Songea.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: