Zaidi ya wakazi 3000 katika kijiji cha Mokowe Lamu hawana maji
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-01-20
Просмотров: 2895
Zaidi ya wakaazi 3000 katika kijiji cha Mokowe kaunti ya Lamu wanalalamikia ukosefu wa maji safi ya kunywa kwa muda mrefu sasa huku wakilazimika kunywa maji ya chumvi kutoka kwa visima vinavyopatikana eneo hilo. Asilimia kubwa ya ardhi ya Mokowe ina maji ya chumvi kutokana na kupakana na bahari hindi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: