Namna ya kuongeza Thamani - Misana Manyama
Автор: Misana Manyama
Загружено: 2024-05-10
Просмотров: 2026
Ili uweze kufanikiwa katika biashara ni muhimu sana ujue namna ya kuongeza thamani katika kile unachokiuza kwa wateja wako. Ukweli ni kwamba walaji wengi wananunua thamani na wengine wapo radhi hata kulipia kiwango kikubwa cha fedha kama thamani inayopatikana ni kubwa pia.
katika somo hili nimeelezea namna unavyoweza kuongeza thamani katika biashara yako na kujipatia wateja wengi zaidi na hatimaye kuongeza mauzo.
fuatana nami katika somo hili muhimu kwa kila mfanyabiashara.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE – SHARE
#malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: