SILVERLANDS TANZANIA NDANI YA NANENANE DODOMA
Автор: VOAGTV
Загружено: 2025-08-07
Просмотров: 432
Kampuni ya Silverlands Tanzania ni moja ya washiriki katika maonesho ya nanenane jijini Dodoma, kampuni hiyo ambayo ni wazalishaji wa chakula cha kuku na wazalishaji wa kuku wa aina tatu wakiwemo kuku wa nyama, kuku wa mayai na kuku chotara maarufu kwa jina la saso.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: